hells kitchen dress code :
vazi zuri ni lile linalositiri na kupita kwao huonesha uzuri wako. Wasiliana nasi kupata vazi zuri kwa ajili ya mahitaji ya harusi, send off, kitchen party au sherehe yako yoyote. PATDEL DESIGNS. Njoo tukuvishe #nguo #vazi #kusitiri #dress